Author: Mwandishi Wetu

MMILIKI WA KAMPUNI YA KUFUA UMEME YA IPTL, HARBINDER SETH AHUKUMIWA KULIPA FIDIA YA SH BILIONI 26

BOSS IPTL APIGWA HUKUMU; KULIPA FIDIA TZS BIL. 26

Mmiliki wa Kampuni ya Kufua umeme ya IPTL, Harbinder SethMahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemhukumu, mmiliki wa Kampuni ya kufua umeme ya IPTL, Harbinder Seth, kulipa fidia ya Sh 26bilioni baada ya kupatikana na...

Extended Play (EP) ya The Dragon Queen, Dayna Nyange “Elo”

Extended Play (EP) ya The Dragon Queen, Dayna Nyange “Elo” Ni Alhamisi Tarehe 17.06.2021

Dayna ameweka wazi kuwa baada ya kuachia wimbo wake “Elo” aliomshirikisha Davido kutoka Nigeria kutoka kwenye EP hiyo amabyo ni ya kwanza kutoka kwake, sasa ni wakati wa kuipeleka sokoni. “I am so thrilled...

RC KUNENGE AZINDUA MAGARI YA HONGYANG KATIKA KIWANDA CHA GF, AKEMEA WATENDAJI WANAOWATIA HOFU WAWEKEZAJI

RC KUNENGE AZINDUA MAGARI YA HONGYANG KATIKA KIWANDA CHA GF KIBAHA, AKEMEA WATENDAJI WANAOWATIA HOFU WAWEKEZAJI

Kibaha, Pwani Mkuu wa Mkoa wa Pwani Abubakar Kunenge amezindua awamu ya  pili ya utengenezaji wa magari aina ya Hongyang katika Kiwanda cha magari cha GF Assemblers cha Kibaha mkoni Pwani. Akizungumza baada ya uzinduzi wa...

Paul Pogba Aondoa Chupa Za Heineken Wakati Wa Mkutano Na Waandishi Wa Habari

Paul Pogba Aondoa Chupa Ya Bia Ya Heineken Kwenye Mkutano Na Waandishi Wa Habari Euro 2020

Paul Pogba ni mwanasoka wa hivi karibuni kuondoa bidhaa ya wadhamini rasmi baada ya nyota huyo wa Ufaransa kuondoa chupa ya Heineken iliyowekwa mbele yake kwenye mkutano wa waandishi wa habari Euro 2020. Pogba,...

Taraji P.Henson Ndiye Atakuwa Host wa BET Awards 2021

Taraji P.Henson Ndio Host Wa BET Awards 2021

Mwingizaji Taraji P.Henson ndiye atakuwa ‘Host’ wa Tuzo za BET za mwaka huu wa 2021. Tuzo za mwaka huu zitafanyika na kuonyeshwa Live na BET siku ya Jumapili tarehe 27 Juni,2021 kuanzia saa mbili usiku kwa...

MWIGIZAJI WA MIZENGWE MAARUFU MZEE MATATA AFARIKI DUNIA

Tanzia: MWIGIZAJI WA MIZENGWE MAARUFU MZEE MATATA AFARIKI DUNIA [ Sababu Za Kifo] UPDATE

MWIGIZAJI wa Kikundi cha Maigizo cha Kashkashi kinachorusha mchezo wao wa kuchekesha wa Mizengwe kupitia Televisheni ya ITV, Jumanne Alela almaarufu Mzee Matata amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Juni 16, 2021 Hospitali ya...

Rais Samia ampa tumaini jipya Mbunge wa CHADEMA

BARAZA LA VIJANA MEZANI KWA SAMIA; MATUMAINI YAFUFUKIA MWANZA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Samia Suluhu Hassan, amesema kuwa ataenda kuangalia kwa undani sababu na vikwazo viliyopelekea hadi sasa kutoundwa kwa Baraza la Vijana la Kitaifa la kuwawezesha vijana kukutana...

Abubeker Nassir Ahmed kuja yanga

RADA ZA JANGWANI ZINASOMA Abubeker Nassir Ahmed (Golden BOY) ETHIOPIA

BAADA ya kukamilisha usajili wa beki wa kulia raia wa DR Congo, Djuma Shabani, kisha kupaa kwenda Afrika Kusini, sasa unaambiwa injinia Hers Said anaendelea na usajili wa kimataifa ambapo kituo kinachofuata ni Misri, Sudan na Ethiopia. Hersi ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa Kamati...