Diamond Platnumz Anawania Tuzo Ya ‘Best Internationa Act BET 2021’ Peke Yake E. Africa, S. Africa

diamond platnumz tanzania bet 2021
diamond platnumz tanzania bet 2021

Nyota wa Tanzaia ameendelea kutawala msimu wa tuzo za 2021, Diamond Platnumz yuko kwenye list ya Best Internationa Act BET 2021. akiwa mteule pekee kutoka Tanzania na ukanda wote wa Africa Mashariki Na Kusini, mwaka huu BET wamezingatia mziki ulioonyesha wingi wa maonyesho yenye ubunifu na ubora wa mtu mweusi kwenye muziki, runinga, filamu, na michezo.

Diamond Platnumz (SIMBA mwenye umri wa miaka 31 atakabiliana na wasanii wengine mashuhuri kama Burna Boy wa Nigeria, ambaye hapo zamani amebeba tuzo ya BET, Aya Nakamura (Ufaransa), Wizkid(Nigeria), Emicida (Brazil), Headie One (UK), Young T & Bugsey (UK) na Youssoupha (Ufaransa).

“Tumerudi na tumefurahi kuleta usiku mkubwa zaidi wa utamaduni, 2021 ‘Tuzo za BET,’ zimerudi Los Angeles kusherehekea orodha nzuri ya mwaka huu ya wasanii wanaowania tuzo hizi,” alisema Connie Orlando, Mtaalam wa EVP, Programu ya Muziki na Mkakati wa Muziki. “Tulivunja uwanja kama moja ya tuzo ya kwanza rasmi kuonyesha kuendelea mbele wakati wa janga la ulimwengu na tuko tayari kuchukua hadhi yetu ya uanzilishi kwa kiwango kingine na kurudi kwa hadhira kusherehekea sanaa zenye ubunifu bora katbisa katika tasnia ya burudani. . ”

Issa Rae yuko kwenye kipengere cha mwigizaji bora wa kike pamoja na Andra Day, Jurnee Smollett, Viola Davis, Zendaya, na Angela Bassett. Chadwick Boseman, Daniel Kaluuya, Eddie Murphy, Lakeith Stanfield, Aldis Hodge na Damson Idris waliteuliwa katika kipengere cha Mwigizaji Bora.

Megan Thee Stallion ameingia katika vipengere saba tofauti mwaka huu vikiwemo Msanii Bora wa Kike wa Hip Hop, Video ya Mwaka, Albamu ya Mwaka, na Ushirikiano Bora. DaBaby pia yuko katika nafasi za juu kabisa akiingia katika vipengere saba, ambavyo ni pamoja na Msanii Bora wa Kiume wa Hip Hop, Albamu ya Mwaka, na Tuzo la Chaguo la Mtazamaji.

Kua wa kwanza kupata taarifa

Hii hapa chini list kamili na vipengere vyote:

ALBUM OF THE YEAR

AFTER HOURS – THE WEEKND
BLAME IT ON BABY – DABABY
GOOD NEWS – MEGAN THEE STALLION
HEAUX TALES – JAZMINE SULLIVAN
KING’S DISEASE – NAS
UNGODLY HOUR – CHLOE X HALLE

BEST COLLABORATION

CARDI B FT. MEGAN THEE STALLION – WAP
DABABY FT. RODDY RICCH – ROCKSTAR
DJ KHALED FT. DRAKE – POPSTAR
JACK HARLOW FT. DABABY, TORY LANEZ & LIL WAYNE – WHATS POPPIN (REMIX)
MEGAN THEE STALLION FT. DABABY – CRY BABY
POP SMOKE FT. LIL BABY & DABABY – FOR THE NIGHT

BEST FEMALE R&B / POP ARTIST

BEYONCÉ
H.E.R.
JAZMINE SULLIVAN
JHENÉ AIKO
SUMMER WALKER
SZA

BEST MALE R&B / POP ARTIST

6LACK
ANDERSON .PAAK
CHRIS BROWN
GIVEON
TANK
THE WEEKND

BEST NEW ARTIST

COI LERAY
FLO MILLI
GIVEON
JACK HARLOW
LATTO
POOH SHIESTY

BEST GROUP

21 SAVAGE & METRO BOOMIN
CHLOE X HALLE
CHRIS BROWN & YOUNG THUG
CITY GIRLS
MIGOS
SILK SONIC

BEST FEMALE HIP HOP ARTIST

CARDI B
COI LERAY
DOJA CAT
MEGAN THEE STALLION
LATTO
SAWEETIE

BEST MALE HIP HOP ARTIST

DABABY
DRAKE
J. COLE
JACK HARLOW
LIL BABY
POP SMOKE

DR. BOBBY JONES BEST GOSPEL/INSPIRATIONAL AWARD

BEBE WINANS – IN JESUS NAME
CECE WINANS – NEVER LOST
H.E.R. – HOLD US TOGETHER
KIRK FRANKLIN – STRONG GOD
MARVIN SAPP – THANK YOU FOR IT ALL
TAMELA MANN – TOUCH FROM YOU

BET HER AWARD

ALICIA KEYS FT. KHALID – SO DONE
BRANDY FT. CHANCE THE RAPPER – BABY MAMA
BRI STEVES – ANTI QUEEN
CHLOE X HALLE – BABY GIRL
CIARA FT. ESTER DEAN – ROOTED
SZA – GOOD DAYS

BEST INTERNATIONAL ACT

AYA NAKAMURA(FRANCE)
BURNA BOY(NIGERIA)
DIAMOND PLATNUMZ(TANZANIA)
EMICIDA (BRAZIL)
HEADIE ONE(UK)
WIZKID (NIGERIA)
YOUNG T & BUGSEY(UK)
YOUSSOUPHA (FRANCE)

VIEWER’S CHOICE AWARD

CARDI B FT. MEGAN THEE STALLION – WAP
CHRIS BROWN & YOUNG THUG – GO CRAZY
DABABY FT. RODDY RICCH – ROCKSTAR
DJ KHALED FT. DRAKE – POPSTAR
DRAKE FT. LIL DURK – LAUGH NOW CRY LATER
LIL BABY – THE BIGGER PICTURE
MEGAN THEE STALLION FT. BEYONCÉ – SAVAGE (REMIX)
SILK SONIC – LEAVE THE DOOR OPEN

VIDEO OF THE YEAR

CARDI B – UP
CARDI B FT. MEGAN THEE STALLION – WAP
CHLOE X HALLE – DO IT
CHRIS BROWN & YOUNG THUG – GO CRAZY
DRAKE FT. LIL DURK – LAUGH NOW CRY LATER
SILK SONIC – LEAVE THE DOOR OPEN

VIDEO DIRECTOR OF THE YEAR

BENNY BOOM
BRUNO MARS AND FLORENT DÉCHARD
COLE BENNETT
COLIN TILLEY
DAVE MEYERS
HYPE WILLIAMS

BEST MOVIE

COMING 2 AMERICA
JUDAS AND THE BLACK MESSIAH
MA RAINEY’S BLACK BOTTOM
ONE NIGHT IN MIAMI…
SOUL
THE UNITED STATES VS. BILLIE HOLIDAY

BEST ACTRESS

ANDRA DAY
ANGELA BASSETT
ISSA RAE
JURNEE SMOLLETT
VIOLA DAVIS
ZENDAYA

BEST ACTOR

ALDIS HODGE
CHADWICK BOSEMAN
DAMSON IDRIS
DANIEL KALUUYA
EDDIE MURPHY
LAKEITH STANFIELD

YOUNGSTARS AWARD

ALEX R. HIBBERT
ETHAN HUTCHISON
LONNIE CHAVIS
MARSAI MARTIN
MICHAEL EPPS
STORM REID

SPORTSWOMAN OF THE YEAR AWARD

A’JA WILSON
CANDACE PARKER
CLARESSA SHIELDS
NAOMI OSAKA
SERENA WILLIAMS
SKYLAR DIGGINS-SMITH

SPORTSMAN OF THE YEAR AWARD

KYRIE IRVING
LEBRON JAMES
PATRICK MAHOMES
RUSSELL WESTBROOK
RUSSELL WILSON
STEPHEN CURRY

You may also like...