Taraji P.Henson Ndio Host Wa BET Awards 2021

Taraji P.Henson Ndiye Atakuwa Host wa BET Awards 2021
Taraji P.Henson Ndiye Atakuwa Host wa BET Awards 2021

Mwingizaji Taraji P.Henson ndiye atakuwa ‘Host’ wa Tuzo za BET za mwaka huu wa 2021. Tuzo za mwaka huu zitafanyika na kuonyeshwa Live na BET siku ya Jumapili tarehe 27 Juni,2021 kuanzia saa mbili usiku kwa saa za mashariki za Marekani (8:00 PM, ET/PT.

Katika tuzo za mwaka huu pia msanii na mwigizaji Dana Owens almaarufu kama Queen Latifah atapewa Lifetime Achievement BET Award.

Kwa upande wa Tanzania, tuzo za mwaka huu za BET bila shaka zitakuwa na wafuatiliaji wengi kuliko miaka mingine kutokana na kwamba msanii Diamond Platinumz kuwa miongoni mwa walioteuliwa kuwania tuzo hizo bali uteuzi wake umekuwa na pande mbili zisizopikika kwenye chungu kimoja.

Kua wa kwanza kupata taarifa

You may also like...