Category: Afya

Mkurugenzi Mkuu wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) Dkt. Samuel Gwamaka

MKURUGENZI MKUU WA NEMC ATEMBELEA FUKWE ZA COCO KUANGALIA CHANGAMOTO ZA KIMAZINGIRA

Mkurugenzi Mkuu wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) Dkt. Samuel Gwamaka akizungumza na waandishi wa habari mara baada kutembelea fukwe za Coco leo Jijini Dar es Salaam. (PICHA ZOTE...

JAMII YA WATU WANAOISHI NA SICKO CELL WAOMBA KUWEKEWA MPANGO KAZI WA UPIMAJI

JAMII YA WATU WANAOISHI NA SICKO CELL WAOMBA KUWEKEWA MPANGO KAZI WA UPIMAJI

Jamii ya watu wanaoishi na ugonjwa wa selimundu nchini, (Sicko cell), wameiomba wizara ya afya kuweka mpango kazi ambao utawezesha ugonjwa huo kuboresha upatikanaji wa upimaji wa ugonjwa huo ili kufanikisha kupunguza watoto wengi...

National Baby Shower: South Africans Troop to Social Media to Celebrate 10 newborns, promise gifts

Baby Shower Ya Taifa: Wana Afrika Kusini Washerehekea Kuzaliwa Watoto 10, Waahidi Zawadi

Hashtag mpya imezaliwa baada ya mwanamke mmoja huko Gauteng Africa Kusini kujifungua watoto 10 kwa mara moja katika hospitali ya Pretoria na kushangaza watu wengi mapema wiki hii. #NationalBabyShower imekuwa ikiongezeka siku nzima ya...

Masina has confirmed that the woman and her 10 babies have been located

Afisa Selikali Ya Afrika Kusini Athibitisha Kuzaliwa Kwa Watoto 10: “Tumeipata Familia”.

Afisa mmoja wa serikali ya Afrika Kusini sasa ameendelea kuthibitisha kwamba wamempata mama Gauteng ambaye hivi karibuni alizaa watoto 10. Maafisa mbalimbali wa serikali walikuwa wamesema awali kwamba hakukuwa na ushahidi kwamba mwanamke Gauteng...

Dumu kitandani

Heshima Ya Mahusiano Ni 6×6. Maliza ‘Game’ Ki-Star Kwa Muda Unaotaka

Ufafanuzi wa kuiga mshindo mapema ni wazi kabisa. Inaweza kumaanisha ama kutokwa na manii kabla ya tendo la ndoa, au tu unapoanza tendo la ndoa, labda kwa dakika kadhaa. Wengine hata hufafanua tendo la...

BENKI YA CRDB, NHIF & KACU WATIA SAINI YA MAKUBALIANO YA BIMA ZA AFYA KWA WAKULIMA

CRDB, NHIF & KACU WATIA SAINI MAKUBALIANO YA BIMA ZA AFYA KWA WAKULIMA

Mkuu wa Wilaya Kahama Mkoa wa Shinyanga Mhe. Anamringi Macha ameshuhudia utiaji saini wa makubaliano ya Bima ya afya kwa wakulima baina ya benki ya CRDB,NHIF na Chama Kikuu Cha Ushirika Kahama (KACU) Akizungumza...

NMB,NHIF KUWAWEZESHA WAKULIMA NCHINI KUJIUNGA NA BIMA YA AFYA

NMB,NHIF KUWAWEZESHA WAKULIMA NCHINI KUJIUNGA NA BIMA YA AFYA

Afisa Mkuu wa Wateja Binafsi na Biashara wa Benki ya NMB – Filbert Mponzi (kushoto)  na  Mkurugenzi na Mkuu wa Mfuko wa Taifa  wa Bima ya Afya (NHIF), Bernard Konga wakipongezana baada ya kutiliana...

RAIS SAMIA APOKEA MAPENDEKEZO KUHUSU NAMNA YA KUKABILIANA NA COVID-19, IKULU JIJINI DODOMA

RAIS SAMIA APOKEA MAPENDEKEZO KUHUSU NAMNA YA KUKABILIANA NA COVID-19, IKULU JIJINI DODOMA, LEO

Mwenyekiti wa Kamati Maalum iliyoundwa na Rais Samia Suluhu Hassan kwa ajili ya kufanya tathmini ya Ugonjwa wa Korona Covid -19 Profesa Said Aboud, akikabidhi kwa Rais, mapendekezo ya Mpango kazi wa kutafuta Rasilimali...

DC Kahama aonya

DC MACHA AONYA WANAOENEZA UZUSHI KUWA KINGATIBA YA KICHOCHO NA MINYOO WANAYOPEWA WANAFUNZI NI CHANJO YA CORONA

MKUU wa Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga, Anamringi Macha amewataka wananchi kuacha kuzusha uvumi kuwa kinga tiba ya minyoo na kichocho dawa wanazonyweshwa wanafunzi wa shule za msingi ni chanjo ya Virusi vya Korona...

Afisa TBS Imakulata gozeep

Wazalishaji Chakula Watakiwa Kuzingatia Usalama “Usihatarishe Maisha Ya Malaji”

Kuelekea maadhimisho ya Siku ya Usalama wa Chakula duniani, Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limewataka wazalishaji wa vyakula kuandaa vyakula katika hali salama yakiwemo mazingira salama ili kuweza kumlinda mlaji asiweze kupata madhara ya...