Category: Ajira/Elimu

7 Job Opportunities at UNHCR, Resettlement Associate

7 Job Opportunities At UNHCR, Resettlement Associate

Organizational Setting and Work Relationships: A Resettlement Associate position is typically located at Multi-Country Office, Branch Office or Field Office. Under supervision, the incumbent¿s primary role is to assist in providing, in close coordination...

40 Job Opportunities at Sanlam, Afisa Mauzo (Resident sales executives)

Nafasi 40 Za Kazi Sanlam; Afisa Mauzo (Resident Sales Executives)

Kampuni ya Sanlam imetangaza nafa za kazi post 40 za Afisa Mauzo (Resident sales executives). Sanlam group makao yake makuu yako Bellville, Western Cape, South Africa. Sanlam Ni moja ya makampuni makubwa ya Bima...

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) Kufungua Dirisha La Maombi Ya Mikopo Julai Mosi Mwaka Huu

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) Kufungua Dirisha La Maombi Ya Mikopo Julai Mosi Mwaka Huu

BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetangaza kuwa dirisha la maombi ya mikopo kwa wanafunzi wa Elimu ya juu kwa mwaka 2021/2022 linatarajia kufunguliwa Julai Mosi mwaka huu.Akizungumza katika hafla...

Mwanafunzi KOM Aliye Vaa Mabango

MWANAFUNZI AZUA GUMZO KWA KUVAA MABANGO MWILI MZIMA SHINYANGA MJINI

Mwanafunzi Josephat John, aliyekuwa anasoma kidato cha nne katika Shule ya Sekondari Kom iliyopo Manispaa ya Shinyanga, amezua taharuki ya aina yake leo mchana Ijumaa Juni 4,2021 mjini Shinyanga mara baada ya kujianika juani...

CBE na Amana Bank

CHUO CHA ELIMU YA BIASHARA (CBE) , BENKI YA AMANA WAINGIA MKATABA KUWAPA MIKOPO WANAFUNZI ‘ELIMU FINANCING’

wa mujibu wa takwimu ya Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) kampasi ya Mwanza mwaka jana kati ya wanafunzi 2660 waliokuwa wameomba kujiunga na masomo katika ngazi ya Cheti na Diploma ,zaidi ya Wanafunzi...

Majina Ya Waliochaguliwa Kidato Chano Na vyuo Vya ufundi gozeep

FORM FIVE SELECTION 2021

ILALA MC KINONDONI MC KIGAMBONI MC UBUNGO MC DODOMA TEMEKE MC GEITA IRINGA KAGERA KATAVI KIGOMA KILIMANJARO LINDI MANYARA MARA MBEYA MOROGORO MTWARA MWANZA NJOMBE PWANI RUKWA RUVUMA SHINYANGA SIMIYU SINGIDA SONGWE ARUSHA TABORA...

JKT names new training recruits, due camps - Tanzania

WITO WA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA JKT MUJIBU WA SHERIA MWAKA 2021

TAARIFA KWA UMMA Watumishi wa Taifa (JKT) wametangaza majina ya wahitimu wa kidato cha sita kutoka Tanzania Bara ambao wanatakiwa kujiunga na mafunzo kulingana na matakwa ya sheria. Akizungumza katika mkutano na waandishi wa...

TBS Tanzania Gozeep

MAONESHO YA SIDO KASKAZINI:Mjasiliamali Ukipitia Sido Hakuna Gharama TBS

Wajasiriamali kanda ya kaskazini wameaswa kuzalisha bidhaa zenye ubora ili kuweza kuhimili ushindani katika soko la ndani na kimataifa. Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Exaud Kigahe ameyasema hayo wakati wa ufunguzi wa Maonesho...