Category: Biashara

Mikoa 11 Kukosa Umeme Tarehe 2 Novemba

Habari Leo Mikoa 11 Kukosa Umeme Tarehe 15 Novemba

Habari Leo ni kwamba Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawafahamisha wateja wake kuwa, Jumatatu Novemba 15, 2021 kutakuwa na matengenezo ya njia ya kusafirisha umeme wa kilovolti 220 kutoka Kidatu hadi Iringa kuanzia saa...

Serikali yahimiza matumizi ya taneps

CRB YATAKA MAKANDARASI KUJAZA TENDA KIELEKTRONIKI TANePS

MAKANDARASI nchini wametakiwa kuufahamu na kuutumia mfumo wa serikali wa kuomba zabuni kielektroniki (TANePS) kwani zabuni zote zimekuwa zikiombwa kupitia mfumo huo. Hayo yalisemwa jana mjini Iringa na Mwenyekiti wa Bodi  ya Makandarasi (CRB), Consolata...

Kanisa Halisi Kuwabariki Wamachinga

IBADA MAALUM YA KUWABARIKI WAMACHINGA, ITAKAYOFANYIKA JUMAPILI HII, TEGETA JIJINI DAR ES SALAAM

Baba Halisi wa Kanisa Halisi la Mungu Baba amewakaribisha Wafanya Biashara ndogondogo ‘Machinga’, katika Ibada Maalum ya kuwabariki Wafanyabiashara hao, ambayo itafanyika Jumapili hii, Novemba 7, 2021 (Lango la Moyo Mmoja, 19 Eluli 9),...

PSSSF NA BENKI YA AZANIA ZAZINDUA HUDUMA YA KUWAWEZESHA WANANCHI KUMILIKI NYUMBA NA VIWANJA KWA GHARAMA NAFUU

PSSSF NA BENKI YA AZANIA ZAZINDUA HUDUMA YA KUWAWEZESHA WANANCHI KUMILIKI NYUMBA NA VIWANJA KWA GHARAMA NAFUU

MFUKO wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) na Benki ya Azania, wamezinduahuduma ya kuwawezesha wanachama wa Mfuko huo na wananchi kwa ujumla kuwezakumiliki nyumba kwa kulipa kidogokidogo. Uzinduzi huo umefanyika jijini...

RC KUNENGE AZINDUA MAGARI YA HONGYANG KATIKA KIWANDA CHA GF, AKEMEA WATENDAJI WANAOWATIA HOFU WAWEKEZAJI

RC KUNENGE AZINDUA MAGARI YA HONGYANG KATIKA KIWANDA CHA GF KIBAHA, AKEMEA WATENDAJI WANAOWATIA HOFU WAWEKEZAJI

Kibaha, Pwani Mkuu wa Mkoa wa Pwani Abubakar Kunenge amezindua awamu ya  pili ya utengenezaji wa magari aina ya Hongyang katika Kiwanda cha magari cha GF Assemblers cha Kibaha mkoni Pwani. Akizungumza baada ya uzinduzi wa...

WAZIRI MKUMBO AFANYA ZIARA KUKAGUA MAANDALIZI YA MAONESHO YA 45 YA DITF (SABASABA) JIJINI DAR ES SALAAM.

WAZIRI MKUMBO AFANYA ZIARA KUKAGUA MAANDALIZI YA MAONESHO YA 45 YA DITF (SABASABA) JIJINI DAR ES SALAAM.

Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Prof. Kitila Mkumbo (Mb) amefanya ziara ya kutembelea taasisi ya Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) ambapo amekutana na kuzungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maendeleo...

Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu

“Kuanzia Disemba mwaka huu wasanii wataanza kulipwa baada ya redio na TV kupiga nyimbo zao” Rais Samia

‘Sanaa na utamaduni, sekta hii imekuwa ikikua kwa kasi, miongoni mwa hatua tulizochukua ni kuimarisha usimamizi wa haki miliki za wasanii, nataka kuarifu vijana kwa kuanzia Disemba mwaka huu wasanii wataanza kulipwa mirabaha yao...

NAIBU WAZIRI OLE NASHA AKUTANA NA WAWEKEZAJI WENYE NIA YA KUWEKEZA KIWANDA CHA KUUNGANISHA MAGARI NCHINI

NAIBU WAZIRI OLE NASHA AKUTANA NA WAWEKEZAJI WENYE NIA YA KUWEKEZA KIWANDA CHA KUUNGANISHA MAGARI NCHINI

Uongozi wa Umoja wa watengenezaji wa magari Yaani Afrika automotive manufacturer wamefika nchini Tanzania na kufanya mazungumzo ya awali na Naibu Waziri wa Uwekezaji Mhe. William Ole Nasha juu ya nia yao ya kuanzisha...

RAIS WA BENKI YA AfDB AMUAHIDI RAIS SAMIA NEEMA LUKUKI KWA TANZANIA, NI KATIKA MAZUNGUMZO YAO KWA NJIA YA SIMU, LEO

RAIS WA BENKI YA AfDB AMUAHIDI RAIS SAMIA NEEMA LUKUKI KWA TANZANIA, NI KATIKA MAZUNGUMZO YAO KWA NJIA YA SIMU, LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizungumza kwa njia ya simu masuala mbalimbali ya Kimaendeleo na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dk. Adesina Akinwumi, ambaye alikuwa akizungumza...