Category: Burudani

Jack Cliff Atoka Jela Baada ya Kutumikia Kifungo China

Jack Cliff Atoka Jela Baada ya Kutumikia Kifungo China

Hatimaye model maarufu Bongo, Jacqueline Fitzpatrick Cliff ‘Jack Cliff’ ameachiwa huru baada ya kutumikia kifungo cha miaka nane jela Macao nchini China ambapo alikuwa akitumikia kifungo chake tangu tangu mwaka 2014 kutokana na kosa...

Miss Olivia Yacé, se dite prête à relever tous les défis à ce rendez-vous mondial de la beauté

Miss Monde 2021: Olivia Yacé se met dans les conditions du concours, admirez-la dans sa belle tenue

Dans quelques jours, Olivia Yacé, la reine de la beauté ivoirienne va s’envoler pour Puerto Rico où se déroulera le concours Miss Monde. Pour cette édition 2021 qui se veut celle de l’excellence pour...

waziri mkuu aongea na taifa stars

WAZIRI MKUU AZUNGUMZA NA WACHEZAJI WA TAIFA STARS

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na wachezaji wa timu ya Taifa ya Tanzania ya mpira wa Miguu (Taifa Stars) ikiwa ni sehemu ya hamasa kuelekea mechi za kufuzu kombe la dunia dhidi ya timu...

Extended Play (EP) ya The Dragon Queen, Dayna Nyange “Elo”

Extended Play (EP) ya The Dragon Queen, Dayna Nyange “Elo” Ni Alhamisi Tarehe 17.06.2021

Dayna ameweka wazi kuwa baada ya kuachia wimbo wake “Elo” aliomshirikisha Davido kutoka Nigeria kutoka kwenye EP hiyo amabyo ni ya kwanza kutoka kwake, sasa ni wakati wa kuipeleka sokoni. “I am so thrilled...

Taraji P.Henson Ndiye Atakuwa Host wa BET Awards 2021

Taraji P.Henson Ndio Host Wa BET Awards 2021

Mwingizaji Taraji P.Henson ndiye atakuwa ‘Host’ wa Tuzo za BET za mwaka huu wa 2021. Tuzo za mwaka huu zitafanyika na kuonyeshwa Live na BET siku ya Jumapili tarehe 27 Juni,2021 kuanzia saa mbili usiku kwa...

MWIGIZAJI WA MIZENGWE MAARUFU MZEE MATATA AFARIKI DUNIA

Tanzia: MWIGIZAJI WA MIZENGWE MAARUFU MZEE MATATA AFARIKI DUNIA [ Sababu Za Kifo] UPDATE

MWIGIZAJI wa Kikundi cha Maigizo cha Kashkashi kinachorusha mchezo wao wa kuchekesha wa Mizengwe kupitia Televisheni ya ITV, Jumanne Alela almaarufu Mzee Matata amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Juni 16, 2021 Hospitali ya...

Esma Platnumz na Uchebe Mambo Mambo Hadharani

Esma Platnumz na Uchebe Mambo Mambo Hadharani

SOSHOLAITI ambaye ni dada wa msanii mkubwa wa Bongo Fleva ndani na nje ya Tanzania, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Esma Khan au Esma Platnumz ameweka mambo hadharani juu ya ubuyu kwamba anatoka kimapenzi na...

Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu

“Kuanzia Disemba mwaka huu wasanii wataanza kulipwa baada ya redio na TV kupiga nyimbo zao” Rais Samia

‘Sanaa na utamaduni, sekta hii imekuwa ikikua kwa kasi, miongoni mwa hatua tulizochukua ni kuimarisha usimamizi wa haki miliki za wasanii, nataka kuarifu vijana kwa kuanzia Disemba mwaka huu wasanii wataanza kulipwa mirabaha yao...

Ubosi Unanifanya Nisiolewe, Umri Unazidi Kusonga..Naombeni Ushauri

Ubosi Unanifanya Nisiolewe, Umri Unazidi Kusonga..Naombeni Ushauri

Tangu nimalize harakati za masomo ni miaka 6 sasa. Wenzangu wote niliyokuwa nao ama wameolewa na kupata watoto ama wamepata watoto nje ya ndoa. Mimi tangu nikiwa mdogo na kwa maadili niliyolelewa niliapa kutokuzaa...