Category: Habari

habari leo Milipuko Iliyotokea Kampala Ni Mabomu Ya Kujitoa Muhanga- Polisi

Milipuko Iliyotokea Kampala Ni Mabomu Ya Kujitoa Muhanga- Vifo 6, Majeruhi 33 – Polisi Uganda

Jeshi la polisi nchini Uganda limeeleza kuwa milipuko miwili iliyotokea asubuhi ya leo, Novemba 16, 2021 kwenye kizuizi cha barabarani cha kuingia kwenye Makao Makuu ya Jeshi la Polisi jijini Kampala na jirani na...

Breaking: Milipuko Miwili Yaua Tena Uganda

Breaking: Milipuko Miwili Yaua Tena Uganda

BREAKING NEWS: Milipuko miwili imetokea katika Mji mkuu wa Kampala nchini Uganda, mapema leo Jumanne, Novemba 16, 2021 huku watu wawili wakidaiwa kupoteza Maisha kutokana na milipuko hiyo. Ripoti za vyombo vya habari nchini...

Habari Leo - Samia Suluhu Avaa Nguo za Kijeshi Ajifunika Kichwa Na Kitambaa Chini ya Kofia ya Jeshi

Habari Leo – Samia Suluhu Avaa Nguo za Kijeshi Ajifunika Kichwa Na Kitambaa Chini ya Kofia ya Jeshi

Habari Leo ni kwamba Rais Samia Suluhu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni mwanamke mwenye madaha na anayeelewa undani wa mitindo na mitindo linapokuja suala la uvaaji wa ofisi yake inaweza isiwe habari...

Vijana Washindwa Kuoa Kisa Makahaba, Diwani Alia Uhaba wa Condom

Habari Leo Vijana Washindwa Kuoa Kisa Makahaba, Diwani Alia Uhaba wa Condom

Katika habari leo JESHI la Polisi wilaya ya Kisarawe limesema vijana wanashindwa kuoa mapema kwa sababu huduma ambayo walipaswa kupatiwa na wake zao baada ya kuoa wamekuwa wakiipata kwa bei nafuu kutoka kwa wadada...

Mikoa 11 Kukosa Umeme Tarehe 2 Novemba

Habari Leo Mikoa 11 Kukosa Umeme Tarehe 15 Novemba

Habari Leo ni kwamba Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawafahamisha wateja wake kuwa, Jumatatu Novemba 15, 2021 kutakuwa na matengenezo ya njia ya kusafirisha umeme wa kilovolti 220 kutoka Kidatu hadi Iringa kuanzia saa...

SERIKALI YASISITIZA KUTOWAREJESHA KWENYE UTUMISHI WA UMMA WATUMISHI 15, 538 WALIOGHUSHI VYETI

SERIKALI YASISITIZA KUTOWAREJESHA KWENYE UTUMISHI WA UMMA WATUMISHI 15, 538 WALIOGHUSHI VYETI

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Mohamed Mchengerwa akizungumza na Waandishi wa Habari (hawapo pichani) leo Jijini Arusha kuhusu msimamo wa Serikali wa kutowarejesha Watumishi...

waziri mkuu aongea na taifa stars

WAZIRI MKUU AZUNGUMZA NA WACHEZAJI WA TAIFA STARS

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na wachezaji wa timu ya Taifa ya Tanzania ya mpira wa Miguu (Taifa Stars) ikiwa ni sehemu ya hamasa kuelekea mechi za kufuzu kombe la dunia dhidi ya timu...

Mkurugenzi Mkuu wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) Dkt. Samuel Gwamaka

MKURUGENZI MKUU WA NEMC ATEMBELEA FUKWE ZA COCO KUANGALIA CHANGAMOTO ZA KIMAZINGIRA

Mkurugenzi Mkuu wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) Dkt. Samuel Gwamaka akizungumza na waandishi wa habari mara baada kutembelea fukwe za Coco leo Jijini Dar es Salaam. (PICHA ZOTE...

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara Ya Mambo Ya Ndani Athuman Kailima

WATUMISHI WAHIMIZWA KUWASILISHA MALALAMIKO YAO KULIKO KUPITA NJIA ZA MKATO

WIZARA ya mambo ya ndani ya nchi imewaagiza watumishi wake kufuata utaratibu katika kuwasilisha malalamiko yao badala ya kupita njia za mkato.Agizo hilo lilitolewa leo November 5, 2021 na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara...