Category: Maisha

Kanisa Halisi Kuwabariki Wamachinga

IBADA MAALUM YA KUWABARIKI WAMACHINGA, ITAKAYOFANYIKA JUMAPILI HII, TEGETA JIJINI DAR ES SALAAM

Baba Halisi wa Kanisa Halisi la Mungu Baba amewakaribisha Wafanya Biashara ndogondogo ‘Machinga’, katika Ibada Maalum ya kuwabariki Wafanyabiashara hao, ambayo itafanyika Jumapili hii, Novemba 7, 2021 (Lango la Moyo Mmoja, 19 Eluli 9),...

Kanitafutia Kazi Sasa Nimekua Mtumwa wa Ngono Kwake

Kanitafutia Kazi Sasa Nimekua Mtumwa wa Ngono Kwake

Ni miezi miwili sasa tangu nimeacha kazi kampuni ya zamani, na sasa nipo kwenye kampuni nyingine, hii kazi mpya nimetafutiwa na Boss wangu ambae ndie mkuu wa idara yetu, nimepanda cheo kidogo, kule nilikuwa...