Category: Mastaa

Paul Pogba Aondoa Chupa Za Heineken Wakati Wa Mkutano Na Waandishi Wa Habari

Paul Pogba Aondoa Chupa Ya Bia Ya Heineken Kwenye Mkutano Na Waandishi Wa Habari Euro 2020

Paul Pogba ni mwanasoka wa hivi karibuni kuondoa bidhaa ya wadhamini rasmi baada ya nyota huyo wa Ufaransa kuondoa chupa ya Heineken iliyowekwa mbele yake kwenye mkutano wa waandishi wa habari Euro 2020. Pogba,...

Taraji P.Henson Ndiye Atakuwa Host wa BET Awards 2021

Taraji P.Henson Ndio Host Wa BET Awards 2021

Mwingizaji Taraji P.Henson ndiye atakuwa ‘Host’ wa Tuzo za BET za mwaka huu wa 2021. Tuzo za mwaka huu zitafanyika na kuonyeshwa Live na BET siku ya Jumapili tarehe 27 Juni,2021 kuanzia saa mbili usiku kwa...