Category: Mengineyo

Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu

“Kuanzia Disemba mwaka huu wasanii wataanza kulipwa baada ya redio na TV kupiga nyimbo zao” Rais Samia

‘Sanaa na utamaduni, sekta hii imekuwa ikikua kwa kasi, miongoni mwa hatua tulizochukua ni kuimarisha usimamizi wa haki miliki za wasanii, nataka kuarifu vijana kwa kuanzia Disemba mwaka huu wasanii wataanza kulipwa mirabaha yao...

Alikiba Vs Kiba Junior (Ndombolo Dance Challenge)

Tazama Alikiba Vs Kiba Junior (Ndombolo Dance Challenge) Utagundua Junior Ni Mkali Kuliko Baba Yake Na Hatumii Nguvu

Katika pitapita mitandaoni na mitaani na kamera yangu nimekutana na video inayo trend ya wimbo mpya wa Ali Kiba na ni kipande cha video ya #Alikiba Vs #KibaJunior katika Ndombolo Dance Challenge kilicho shika...

Diamond Platnums for bet2021

Wana Twita ‘Wanaompinga’ Diamond Platnumz BET2021- Ni Chuki Binafsi

Karibu wiki mbili sasa kutembelea twita kumekua na ukakasi usiovumilika, kuona Mtanzania akimtakia mabaya Mtanzania mwenzake. Watu wa Taifa moja wakioneana hila na kutaka mmoja asipate ama kupiga hatua flani. Hii inakua baada ya...

Dumu kitandani

Heshima Ya Mahusiano Ni 6×6. Maliza ‘Game’ Ki-Star Kwa Muda Unaotaka

Ufafanuzi wa kuiga mshindo mapema ni wazi kabisa. Inaweza kumaanisha ama kutokwa na manii kabla ya tendo la ndoa, au tu unapoanza tendo la ndoa, labda kwa dakika kadhaa. Wengine hata hufafanua tendo la...

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) Kufungua Dirisha La Maombi Ya Mikopo Julai Mosi Mwaka Huu

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) Kufungua Dirisha La Maombi Ya Mikopo Julai Mosi Mwaka Huu

BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetangaza kuwa dirisha la maombi ya mikopo kwa wanafunzi wa Elimu ya juu kwa mwaka 2021/2022 linatarajia kufunguliwa Julai Mosi mwaka huu.Akizungumza katika hafla...

Korosho Mtwara

RAIS SAMIA AMETATUA KERO TATU KWENYE KOROSHO MTWARA

>>Anaandika Emmanuel J. Shilatu: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amepiga ‘hat trick’ kwenye zao la Korosho katika mambo yaliyokuwa kero na vilio vya siku nyingi vya Wakulima.I: PEMBEJEORais...

Doria majangili utalii

TAWA KANDA YA MAGHARIBI YAKAMATA BUNDUKI 24, MENO 4 YA TEMBO KATIKA DORIA KUSAKA MAJANGILI

MAMLAKA ya ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania(TAWA) Kanda ya Magharibi imefanikiwa kukamata bunduki za aina mbalimbali 24 na meno ya tembo manne yenye uzito kilo 21.2 katika kipindi cha kuanzia mwezi Aprili hadi Juni...

TB Joshua afariki

Ghafla: Prophet TB Joshua Wa Nigeria Afariki Dunia

Mhubiri wa Kimataifa kutoka Nchini #Nigeria, Temitope Balogun Joshua, maarufu TB Joshua amefariki Dunia akiwa na umri wa miaka 57Amefariki saa chache baada ya kumaliza Huduma katika Kanisa lake Jijini LagosNi mwanzilishi wa Kanisa...

At Night All Blood Is Black

‘Usiku Damu Ni Nyeusi’ [At Night All Blood Is Black]; Novel Iliyoshinda Tuzo Ya Kitabu Cha Kimataifa Mwaka 2021

Alizaliwa na mama Mfaransa na baba yake anatoka Senegal, David Diop ameshinda tuzo ya kifahari ya Kitabu cha Kimataifa kwa hadithi zilizotafsiriwa. Anashiriki tuzo na mfasiri wake Anna Moschovakis kwa riwaya hiyo, ‘Usiku Damu...