Category: Michezo

ALLY MAYAY, OSCAR NA JIMMY KINDOKI WAKATWA URAIS TFF, WAPINZANI WA KARIA WABAKI WAWILI

ALLY MAYAY, OSCAR NA JIMMY KINDOKI WAKATWA URAIS TFF, WAPINZANI WA KARIA WABAKI WAWILI

Kamati ya Uchaguzi ya TFF kupitia kwa Makamu Mwenyekiti wake, Benjamin Karume, leo Juni 16, 2021 imewatangaza waliokosa vigezo vya kuendelea na mchakato wa uchaguzi kwa nafasi ya Urais kuwa ni Oscar Oscar, Ally...

Paul Pogba Aondoa Chupa Za Heineken Wakati Wa Mkutano Na Waandishi Wa Habari

Paul Pogba Aondoa Chupa Ya Bia Ya Heineken Kwenye Mkutano Na Waandishi Wa Habari Euro 2020

Paul Pogba ni mwanasoka wa hivi karibuni kuondoa bidhaa ya wadhamini rasmi baada ya nyota huyo wa Ufaransa kuondoa chupa ya Heineken iliyowekwa mbele yake kwenye mkutano wa waandishi wa habari Euro 2020. Pogba,...

Abubeker Nassir Ahmed kuja yanga

RADA ZA JANGWANI ZINASOMA Abubeker Nassir Ahmed (Golden BOY) ETHIOPIA

BAADA ya kukamilisha usajili wa beki wa kulia raia wa DR Congo, Djuma Shabani, kisha kupaa kwenda Afrika Kusini, sasa unaambiwa injinia Hers Said anaendelea na usajili wa kimataifa ambapo kituo kinachofuata ni Misri, Sudan na Ethiopia. Hersi ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa Kamati...

MCONGO ALIYEMALIZANA NA YANGA KWA MIAKA MIWILI DAU LAKE LAVUNJA REKODI YA LUIS

Mil. 500 Kumuweka Shaban Djuma Jangwani Kwa Miaka Miwili

IMEELEZWA kuwa usajili wa beki wa kulia wa AS Vita, Shaban Djuma kuibuka ndani ya Yanga umeweka rekodi kwa kutumia gharama kubwa kumpata huku dau likiwa linakadiriwa kufikia Sh milioni 500. Yanga imefanikisha usajili huo Jumatano ya...

PSL to unveil #PSLAwards2021 nominees

Africa Kusini: Kiasi Cha Pesa Timu Zote Zilivyovuna Msimu Wa 2020/2021 DSTV Premiership.

Bodi ya Ligi ya Africa kusini (PSL) imeweka hadharani kiasi cha pesa timu zote zilivyovuna msimu wa 2020/2021 ndani ya DSTV Premiership. List kamili hii hapa: 1. Sundowns – R15-million(TZS Bil 2.5) 2. Amazulu...

Vodacom wavunja mkataba na ligi kuu Tanzania

VODACOM YAVUNJA MKATABA UDHAMINI WA LIGI KUU TANZANIA, YADAI KUPATA HASARA

MSIMU ujao wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara haitaitwa tena Vodacom Primier Ligue (VPL) baada ya Vodacom kuvunja mkataba wa kuendelea kuwa mdhamini wa Ligi Kuu kwa sababu mbalimbali zilizoelezwa na uongozi.Vodacom imebisha haikusudii...

Amri Kiemba: Kama Si UMITASHUMTA, Nisinge Cheza Mpira

UMITASHUMTA ndio ulifanya watu wajue kuwa naweza kucheza mpira, bila UMITASHUMTA sidhani kama ningecheza kwa sababu sikuwahi kufikiria kama nitakuwa mchezaji kwa sababu kwenye mazingira yaliyokuwa yananizunguka hakukuwa na mchezaji anayeendesha maisha kwa kucheza...