Category: Mitandaoni

AJALI MOROGORO: INASEMEKANA GARI LILIBEBA MAITI FEKI, ABIRIA WALILAZIMISHWA KUOMBOLEZA KAMA WAFIWA

AJALI MOROGORO: INASEMEKANA GARI LILIBEBA MAITI FEKI, ABIRIA WALILAZIMISHWA KUOMBOLEZA KAMA WAFIWA

Basi aina ya Costa linadaiwa kusababisha ajali leo 22 June mkoani Morogoro lilibeba mashada ya maua, dereva aliposimamishwa kwa kosa la mwendo wa kasi alidai anawahisha mwili kwa ajili mazishi.Taarifa za kuaminika kutoka kwa...

ALLY MAYAY, OSCAR NA JIMMY KINDOKI WAKATWA URAIS TFF, WAPINZANI WA KARIA WABAKI WAWILI

ALLY MAYAY, OSCAR NA JIMMY KINDOKI WAKATWA URAIS TFF, WAPINZANI WA KARIA WABAKI WAWILI

Kamati ya Uchaguzi ya TFF kupitia kwa Makamu Mwenyekiti wake, Benjamin Karume, leo Juni 16, 2021 imewatangaza waliokosa vigezo vya kuendelea na mchakato wa uchaguzi kwa nafasi ya Urais kuwa ni Oscar Oscar, Ally...

Taraji P.Henson Ndiye Atakuwa Host wa BET Awards 2021

Taraji P.Henson Ndio Host Wa BET Awards 2021

Mwingizaji Taraji P.Henson ndiye atakuwa ‘Host’ wa Tuzo za BET za mwaka huu wa 2021. Tuzo za mwaka huu zitafanyika na kuonyeshwa Live na BET siku ya Jumapili tarehe 27 Juni,2021 kuanzia saa mbili usiku kwa...

MWIGIZAJI WA MIZENGWE MAARUFU MZEE MATATA AFARIKI DUNIA

Tanzia: MWIGIZAJI WA MIZENGWE MAARUFU MZEE MATATA AFARIKI DUNIA [ Sababu Za Kifo] UPDATE

MWIGIZAJI wa Kikundi cha Maigizo cha Kashkashi kinachorusha mchezo wao wa kuchekesha wa Mizengwe kupitia Televisheni ya ITV, Jumanne Alela almaarufu Mzee Matata amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Juni 16, 2021 Hospitali ya...

Esma Platnumz na Uchebe Mambo Mambo Hadharani

Esma Platnumz na Uchebe Mambo Mambo Hadharani

SOSHOLAITI ambaye ni dada wa msanii mkubwa wa Bongo Fleva ndani na nje ya Tanzania, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Esma Khan au Esma Platnumz ameweka mambo hadharani juu ya ubuyu kwamba anatoka kimapenzi na...

Kanitafutia Kazi Sasa Nimekua Mtumwa wa Ngono Kwake

Kanitafutia Kazi Sasa Nimekua Mtumwa wa Ngono Kwake

Ni miezi miwili sasa tangu nimeacha kazi kampuni ya zamani, na sasa nipo kwenye kampuni nyingine, hii kazi mpya nimetafutiwa na Boss wangu ambae ndie mkuu wa idara yetu, nimepanda cheo kidogo, kule nilikuwa...

Mchekeshaji Jol Master Amuumbua Boss Wake Coy Mzungu Kisa Nyumba Mbaya

Mchekeshaji Jol Master Amuumbua Boss Wake Coy Mzungu; ‘Nyumba Yako Ni Mbaya’

KIMEUMANA! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya mchekeshaji Jol Master kumuumbua laivu Bosi wake, Coy Mzungu, kwenye ukurasa wake wa Instagram. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Jol Master ameweka kipande cha video alichojirekodi akisikika akimchana...

National Baby Shower: South Africans Troop to Social Media to Celebrate 10 newborns, promise gifts

Baby Shower Ya Taifa: Wana Afrika Kusini Washerehekea Kuzaliwa Watoto 10, Waahidi Zawadi

Hashtag mpya imezaliwa baada ya mwanamke mmoja huko Gauteng Africa Kusini kujifungua watoto 10 kwa mara moja katika hospitali ya Pretoria na kushangaza watu wengi mapema wiki hii. #NationalBabyShower imekuwa ikiongezeka siku nzima ya...

Diamond Platnums for bet2021

Wana Twita ‘Wanaompinga’ Diamond Platnumz BET2021- Ni Chuki Binafsi

Karibu wiki mbili sasa kutembelea twita kumekua na ukakasi usiovumilika, kuona Mtanzania akimtakia mabaya Mtanzania mwenzake. Watu wa Taifa moja wakioneana hila na kutaka mmoja asipate ama kupiga hatua flani. Hii inakua baada ya...

Aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya

ALIYEKUWA MKUU WA WILAYA YA HAI, OLE SABAYA ASOMEWA MASHTAKA 6 , LIMO LA UHUJUMU UCHUMI

Aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya, (wa kwanza upande wa kulia waliochuchumaa) akiwa na wenzake Mahakamani**Aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya, na wenzake leo Juni 4,...