Category: Mitindo

Miss Kahama Gozeep

MISS KAHAMA JUMAMOSI HII JUNI 5

Shindano la Urembo kutafuta mlimbwende wa Kahama ‘Miss Kahama 2021’ yanatarajia kufanyika Jumamosi hii June 5,2021 katika ukumbi wa African Lounge Mjini Kahama yakishirikisha warembo 12 huku Msanii Mr. Blue akinogesha mashindano hayo.Mkurugenzi wa...