Category: Mziki

Extended Play (EP) ya The Dragon Queen, Dayna Nyange “Elo”

Extended Play (EP) ya The Dragon Queen, Dayna Nyange “Elo” Ni Alhamisi Tarehe 17.06.2021

Dayna ameweka wazi kuwa baada ya kuachia wimbo wake “Elo” aliomshirikisha Davido kutoka Nigeria kutoka kwenye EP hiyo amabyo ni ya kwanza kutoka kwake, sasa ni wakati wa kuipeleka sokoni. “I am so thrilled...

Ali Kiba Albam

Tarajia Albam Kutoka Kwa Alikiba, Kuanza Kutoa Nyimbo Back2Back

Unaweza kusema moto wa King Kiba hauzimi hivi sasa baada ya nyota huyo wa muziki nchini kuweka wazi kuwa kuanzia sasa ataanza kuachia ngoma mfululizo bila kupumzika. Bosi huyo wa lebo ya Kings Music...

Diamond Platnums for bet2021

Wana Twita ‘Wanaompinga’ Diamond Platnumz BET2021- Ni Chuki Binafsi

Karibu wiki mbili sasa kutembelea twita kumekua na ukakasi usiovumilika, kuona Mtanzania akimtakia mabaya Mtanzania mwenzake. Watu wa Taifa moja wakioneana hila na kutaka mmoja asipate ama kupiga hatua flani. Hii inakua baada ya...

diamond platnumz tanzania bet 2021 awards

COSOTA: Diamond Platinumz Kuwania Tuzo BET Ni Heshima Kwa Taifa Na Sanaa Ya Muziki Wa Bongo Fleva

Taasisi ya Hakimiliki Tanzania inapenda kumpongeza Msanii Nasibu Abdul maarufu kama Diamond Platinumz kwa kuchaguliwa kuwania tuzo  ‘Black Entertainment Television’ (BET) kwa mwaka 2021, katika kipengele cha ‘Best International Act’ Msanii aliyefanya vizuri  Kimataifa....

diamond platnumz tanzania bet 2021

Diamond Platnumz Anawania Tuzo Ya ‘Best Internationa Act BET 2021’ Peke Yake E. Africa, S. Africa

Nyota wa Tanzaia ameendelea kutawala msimu wa tuzo za 2021, Diamond Platnumz yuko kwenye list ya Best Internationa Act BET 2021. akiwa mteule pekee kutoka Tanzania na ukanda wote wa Africa Mashariki Na Kusini,...

Dj Khaled

Dj Khaled Yuko Tayari Kuachia Albamu Yake Mpya Siku Ya Ijumaa 30.4.2021

Baada ya kutoka kwa albamu yake ya studio ya 11 tarehe 17 Mei, 2019, DJ khaled yuko tayari kutoa albamu yake mpya Khaled Khaled tarehe 30 Aprili 2021.