Category: Siasa/Uchumi

Mikoa 11 Kukosa Umeme Tarehe 2 Novemba

Habari Leo Mikoa 11 Kukosa Umeme Tarehe 15 Novemba

Habari Leo ni kwamba Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawafahamisha wateja wake kuwa, Jumatatu Novemba 15, 2021 kutakuwa na matengenezo ya njia ya kusafirisha umeme wa kilovolti 220 kutoka Kidatu hadi Iringa kuanzia saa...

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara Ya Mambo Ya Ndani Athuman Kailima

WATUMISHI WAHIMIZWA KUWASILISHA MALALAMIKO YAO KULIKO KUPITA NJIA ZA MKATO

WIZARA ya mambo ya ndani ya nchi imewaagiza watumishi wake kufuata utaratibu katika kuwasilisha malalamiko yao badala ya kupita njia za mkato.Agizo hilo lilitolewa leo November 5, 2021 na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara...

Serikali yahimiza matumizi ya taneps

CRB YATAKA MAKANDARASI KUJAZA TENDA KIELEKTRONIKI TANePS

MAKANDARASI nchini wametakiwa kuufahamu na kuutumia mfumo wa serikali wa kuomba zabuni kielektroniki (TANePS) kwani zabuni zote zimekuwa zikiombwa kupitia mfumo huo. Hayo yalisemwa jana mjini Iringa na Mwenyekiti wa Bodi  ya Makandarasi (CRB), Consolata...

RAIS SAMIA AREJEA NCHINI AKITOKEA SCOTLAND, LEO

RAIS SAMIA AREJEA NCHINI AKITOKEA SCOTLAND, LEO 4, NOV 2021

Rais Samia Suluhu Hassan, akishuka katika  Ndege baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es salaam leo Novemba 4, 2021 akitokea Glasgow, Scotland alikohudhuria mkutano wa 26...

MAANDALIZI YA MKUTANO WA 14 WA MAWAZIRI WA EAC WA SEKTA YA KILIMO NA USALAMA WA CHAKULA YAANZA JIJINI ARUSHA

MAANDALIZI YA MKUTANO WA 14 WA MAWAZIRI WA EAC WA SEKTA YA KILIMO NA USALAMA WA CHAKULA YAANZA JIJINI ARUSHA

Mkutano wa 14 Baraza la Kisekta la Mawaziri wa Kilimo na Usalama wa Chakula wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kwa Ngazi ya Wataalam umeanza hivi karibuni jijini Arusha ukiwashirikisha Wataalam wa Kilimo kutoka Nchi...

MMILIKI WA KAMPUNI YA KUFUA UMEME YA IPTL, HARBINDER SETH AHUKUMIWA KULIPA FIDIA YA SH BILIONI 26

BOSS IPTL APIGWA HUKUMU; KULIPA FIDIA TZS BIL. 26

Mmiliki wa Kampuni ya Kufua umeme ya IPTL, Harbinder SethMahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemhukumu, mmiliki wa Kampuni ya kufua umeme ya IPTL, Harbinder Seth, kulipa fidia ya Sh 26bilioni baada ya kupatikana na...

RC KUNENGE AZINDUA MAGARI YA HONGYANG KATIKA KIWANDA CHA GF, AKEMEA WATENDAJI WANAOWATIA HOFU WAWEKEZAJI

RC KUNENGE AZINDUA MAGARI YA HONGYANG KATIKA KIWANDA CHA GF KIBAHA, AKEMEA WATENDAJI WANAOWATIA HOFU WAWEKEZAJI

Kibaha, Pwani Mkuu wa Mkoa wa Pwani Abubakar Kunenge amezindua awamu ya  pili ya utengenezaji wa magari aina ya Hongyang katika Kiwanda cha magari cha GF Assemblers cha Kibaha mkoni Pwani. Akizungumza baada ya uzinduzi wa...

Rais Samia ampa tumaini jipya Mbunge wa CHADEMA

BARAZA LA VIJANA MEZANI KWA SAMIA; MATUMAINI YAFUFUKIA MWANZA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Samia Suluhu Hassan, amesema kuwa ataenda kuangalia kwa undani sababu na vikwazo viliyopelekea hadi sasa kutoundwa kwa Baraza la Vijana la Kitaifa la kuwawezesha vijana kukutana...

Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu

“Kuanzia Disemba mwaka huu wasanii wataanza kulipwa baada ya redio na TV kupiga nyimbo zao” Rais Samia

‘Sanaa na utamaduni, sekta hii imekuwa ikikua kwa kasi, miongoni mwa hatua tulizochukua ni kuimarisha usimamizi wa haki miliki za wasanii, nataka kuarifu vijana kwa kuanzia Disemba mwaka huu wasanii wataanza kulipwa mirabaha yao...

Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu

RAIS SAMIA ATENGUA UTEUZI WA DC, MKURUGENZI MOROGORO

Rais wa Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania, Mh. Samia Suluhu Hassan ametengua mkuu wa wilaya na mkurugenzi mkoani Morogoro, maamuzi hayo aliyafanya wakati wa hotuba yake leo tarehe 15 June 2021 Akiongea na Vijana...