KARIBU BOSI; Klabu Maarufu ya Uingereza Inakaribisha Meneja Mpya, Ziyech Na Ofa Zilizokamilika

Brendan to MANU
Brendan to MANU

Habari leo DEAL IMEMILIKA: DANI ALVES AMERUDI! Barcelona wameanzisha usajili wa mchezaji wao wa zamani Dani Alves na leo amewasili na kufanyiwa vipimo yupo tayari kwa matumizi klabuni hapo.

Dan Alves

(Chanzo: @FCBarcelona)

Hakim Ziyech anataka kuachana na Chelsea mwezi Januari, huku kiki habari leo nchini Ujerumani zikidokeza kwamba Borussia Dortmund inahitaji kumwasilisha winga huyo kwa Bundesliga kwa mkopo.

Itakua vipi?

(Chanzo: Daily Express) Vilabu vingi bora zaidi vya ligi ya Laliga na uingeleza vimewafuta kazi mameneja wao msimu huu kwa sababu ya uchezaji na matokeo mabaya ndani ya klabu. Newcastle United, Barcelona, ‚Äč‚ÄčAston Villa na Norwich town zote zimewabebesha vilago makocha wao msimu huu.

Hapo juu ni orodha fupi ya Majina ya makocha ambao wangependa sana kuzungumza kuhusu kugeuka kuwa meneja wao mpya; Mauricio Pochettino na Zinedane Zidane.

You may also like...