Ghalib Said Mohamed(GSM): Azam Wamekuza Thamani Ya Ligi Tanzania

Bw. Ghalib Said Mohamed gozeepcom
Bw. Ghalib Said Mohamed gozeepcom

Rais wa Makampuni ya @gsmtanzania [GSM Group of Companies] Bw. Ghalib Said Mohamed ameipongeza Azam Media kwa uwekezaji walioufanya kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya hivi karibuni kuweka zaidi ya Tsh. Bil 200 kwa ajili ya haki za matangazo.

Binafsi nichukue fursa hii kuwapongeza kwa dhati ya moyo wangu AZAM MEDIA LIMITED;

Wamekuza thamani ya ligi yetu

Wametendea haki vilabu kwenye mapato, na…

Wamewatendea haki Watanzania kwa kuonyesha karibu 99% ya mechi zote za ligi kuu.

Aidha, ni wajibu wetu kama watanzania kuwaunga mkono na kuwapongeza.

Bw. Ghalib Said Mohamed

Ameyasema hayo akipongeza Azam Media Limited kwa kua mshindi wa haki za matangazo ya Televisheni kwa Ligi Kuu Ya Vodacom(Tanzania Bara).

Kua wa kwanza kupata taarifa

You may also like...