AJALI MOROGORO: INASEMEKANA GARI LILIBEBA MAITI FEKI, ABIRIA WALILAZIMISHWA KUOMBOLEZA KAMA WAFIWA

AJALI MOROGORO: INASEMEKANA GARI LILIBEBA MAITI FEKI, ABIRIA WALILAZIMISHWA KUOMBOLEZA KAMA WAFIWA
AJALI MOROGORO: INASEMEKANA GARI LILIBEBA MAITI FEKI, ABIRIA WALILAZIMISHWA KUOMBOLEZA KAMA WAFIWA

Basi aina ya Costa linadaiwa kusababisha ajali leo 22 June mkoani Morogoro lilibeba mashada ya maua, dereva aliposimamishwa kwa kosa la mwendo wa kasi alidai anawahisha mwili kwa ajili mazishi.
Taarifa za kuaminika kutoka kwa abiria ni kuwa gari hilo halikubeba maiti na abiria wote waligeuka waombolezaji kila gari liliposimamishwa.

Na taarifa za hivi punde kutoka kwa kamanda wa polisi mkoa wa Morogoro Fortunatus Musilim amesema idadi ya waliofariki dunia imeongezeka kutoka 7 mpaka kufikia 9.

Hapo awali Kamanda wa Polisi Morogoro Fortunatus Muslim alisema chanzo cha ajali hiyo ni uzembe wa Dereva wa Coaster kutaka kuyapita magari yaliyopo mbele yake bila kuchukua tahadhari akitokea Dar es salaam kuelekea Mbeya kuzika akiwa amebeba mwili wa Marehemu pamoja na Abiria.

Chanzo: JF

Kua wa kwanza kupata taarifa

You may also like...