I Am Not Sorry: Ngoma ya Rosa Lee, Unahitaji Moyo Mkubwa Kuisikiliza

Rosa-Ree-Im-Not-Sorry-Lyrics gozeepcom
Rosa-Ree-Im-Not-Sorry-Lyrics gozeepcom

Katika pitapita mitaa ya Youtube nimekutana na pini moja kali na linatisha, ni goma la mwana dada Rosa Lee, Mwana Hippop mwanamke kutoka Tanzania. I Am Not Sorry ndio jina la wimbo. Ndani ya wimbo huu kuna mashairi makari hata sijui kapata wapi ujasiri kuyatamka.

I am Not Sorry, Rosa Lee

Kama mwandishi nikajikuta tu nimekamata kalamu kuandika hiki unachosoma hapa. nikijiuliza wimbo huu umepita BASATA?

Au suluhisho la wasanii Bongo ni kuimba Mayai? mana mtoto ametafuna mayai tupu katika uzi ule.

Upande wa pili nikaona na Zamaradi naye kaona nilicho ona, alikua na haya ya kusema:

Katika Hazina kubwa Chache tulizonazo kwenye Industry ya Mziki nadhani hii ni MOJA KUBWA…. Creativity yako ni kubwa mno, Uwezo wako ni wa level nyingine kabsaaa, mdogo wangu I SALUTE YOU @rosa_ree nimeshindwa kuvumilia, kukusifia nyumanyuma itakuwa roho mbaya acha niseme wazi tu, na hii ni katika pitapita leo nimekutana na Intro ya ngoma yako ya I AM NOT SORRY, nikasema hebu niingie kwenye Bio yako niangalie.. nilichokutana nacho acha nikupe heshima yako, Wewe ni Level nyingine!!! SALUTE SALUTE SALUTE 🙌👊👊👊

Zamaladi Mketema

Usikilize hapa >>>

Kua wa kwanza kupata taarifa

You may also like...