Gozeep - Trending Stories Habari Za Uhakika Kila siku

rdc-vs-benin-qarar2022

Mechi Kufuzu Kombe La Dunia Qatar 2022: Licha Ya Mvua Kubwa Kinshasa, Benin Yatembelea Uwanja Wa Martyrs Jumamosi Hii.

Mechi za kufuzu kwa dunia za Qatar 2022: licha ya mvua iliyonyesha Kinshasa, Benin ilifanya utambuzi wa uwanja wa Martyrs Jumamosi hii. Sare itatosha kwa majike wa Benin dhidi ya leopards wa DRC kufuzu...

Pambano la Kasaien kati ya Sa Majeste Sanga Balende Ya Mbujimayi (Kasai Oriental) Na Union Sportive Tshinkunku Ya Kananga (Kasai ya Kati) lilimalizika

Linafoot D1 DRC: Sa Majeste Sanga Balende Ya Mbujimayi (Kasai Oriental) Na Union Sportive Tshinkunku Ya Kananga (Kasai ya Kati) Watoka 0-0.

Pambano la Kasaien kati ya Sa Majeste Sanga Balende Ya Mbujimayi (Kasai Oriental) Na Union Sportive Tshinkunku Ya Kananga (Kasai ya Kati) lilimalizika 0-0. Ilikuwa ni katika mchezo wa mkondo wa kwanza wa makala...

Mikoa 11 Kukosa Umeme Tarehe 2 Novemba

Habari Leo Mikoa 11 Kukosa Umeme Tarehe 15 Novemba

Habari Leo ni kwamba Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawafahamisha wateja wake kuwa, Jumatatu Novemba 15, 2021 kutakuwa na matengenezo ya njia ya kusafirisha umeme wa kilovolti 220 kutoka Kidatu hadi Iringa kuanzia saa...

Matuko katika Picha wakati wa uzinduzi wa Ligi ya Taifa ya Mpira Wa Kikapu iliyopewa jina la “CRDB BANK TAIFA CUP,” katika viwanja vya Chinangali jijini Dodoma.

“TUNAJENGA SPORTS AND ARTS ARENA KATIKA JIJI LA DAR ES SALAAM NA DODOMA” WAZIRI BASHUNGWA.

Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Innocent Bashungwa amesema Serikali kupitia Wizara yake tayari imetangaza zabuni ya kimataifa, ya usanifu wa viwanja viwili vya  kisasa mahususi kwa ajili ya michezo ya ndani (sports and...

SERIKALI YASISITIZA KUTOWAREJESHA KWENYE UTUMISHI WA UMMA WATUMISHI 15, 538 WALIOGHUSHI VYETI

SERIKALI YASISITIZA KUTOWAREJESHA KWENYE UTUMISHI WA UMMA WATUMISHI 15, 538 WALIOGHUSHI VYETI

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Mohamed Mchengerwa akizungumza na Waandishi wa Habari (hawapo pichani) leo Jijini Arusha kuhusu msimamo wa Serikali wa kutowarejesha Watumishi...

waziri mkuu aongea na taifa stars

WAZIRI MKUU AZUNGUMZA NA WACHEZAJI WA TAIFA STARS

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na wachezaji wa timu ya Taifa ya Tanzania ya mpira wa Miguu (Taifa Stars) ikiwa ni sehemu ya hamasa kuelekea mechi za kufuzu kombe la dunia dhidi ya timu...

Mkurugenzi Mkuu wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) Dkt. Samuel Gwamaka

MKURUGENZI MKUU WA NEMC ATEMBELEA FUKWE ZA COCO KUANGALIA CHANGAMOTO ZA KIMAZINGIRA

Mkurugenzi Mkuu wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) Dkt. Samuel Gwamaka akizungumza na waandishi wa habari mara baada kutembelea fukwe za Coco leo Jijini Dar es Salaam. (PICHA ZOTE...

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara Ya Mambo Ya Ndani Athuman Kailima

WATUMISHI WAHIMIZWA KUWASILISHA MALALAMIKO YAO KULIKO KUPITA NJIA ZA MKATO

WIZARA ya mambo ya ndani ya nchi imewaagiza watumishi wake kufuata utaratibu katika kuwasilisha malalamiko yao badala ya kupita njia za mkato.Agizo hilo lilitolewa leo November 5, 2021 na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara...