Tagged: NAS

Dj Khaled

Dj Khaled Yuko Tayari Kuachia Albamu Yake Mpya Siku Ya Ijumaa 30.4.2021

Baada ya kutoka kwa albamu yake ya studio ya 11 tarehe 17 Mei, 2019, DJ khaled yuko tayari kutoa albamu yake mpya Khaled Khaled tarehe 30 Aprili 2021.