Gozeep - Trending Stories Habari Za Uhakika Kila siku

7 Job Opportunities at UNHCR, Resettlement Associate

7 Job Opportunities At UNHCR, Resettlement Associate

Organizational Setting and Work Relationships: A Resettlement Associate position is typically located at Multi-Country Office, Branch Office or Field Office. Under supervision, the incumbent¿s primary role is to assist in providing, in close coordination...

40 Job Opportunities at Sanlam, Afisa Mauzo (Resident sales executives)

Nafasi 40 Za Kazi Sanlam; Afisa Mauzo (Resident Sales Executives)

Kampuni ya Sanlam imetangaza nafa za kazi post 40 za Afisa Mauzo (Resident sales executives). Sanlam group makao yake makuu yako Bellville, Western Cape, South Africa. Sanlam Ni moja ya makampuni makubwa ya Bima...

PSSSF NA BENKI YA AZANIA ZAZINDUA HUDUMA YA KUWAWEZESHA WANANCHI KUMILIKI NYUMBA NA VIWANJA KWA GHARAMA NAFUU

PSSSF NA BENKI YA AZANIA ZAZINDUA HUDUMA YA KUWAWEZESHA WANANCHI KUMILIKI NYUMBA NA VIWANJA KWA GHARAMA NAFUU

MFUKO wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) na Benki ya Azania, wamezinduahuduma ya kuwawezesha wanachama wa Mfuko huo na wananchi kwa ujumla kuwezakumiliki nyumba kwa kulipa kidogokidogo. Uzinduzi huo umefanyika jijini...

MAANDALIZI YA MKUTANO WA 14 WA MAWAZIRI WA EAC WA SEKTA YA KILIMO NA USALAMA WA CHAKULA YAANZA JIJINI ARUSHA

MAANDALIZI YA MKUTANO WA 14 WA MAWAZIRI WA EAC WA SEKTA YA KILIMO NA USALAMA WA CHAKULA YAANZA JIJINI ARUSHA

Mkutano wa 14 Baraza la Kisekta la Mawaziri wa Kilimo na Usalama wa Chakula wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kwa Ngazi ya Wataalam umeanza hivi karibuni jijini Arusha ukiwashirikisha Wataalam wa Kilimo kutoka Nchi...

UHURU WA KUTOA MAONI NA CHANGAMOTO ZA MATUMIZI SAHIHI YA VYOMBO NA MAJUKWAA YA KUPASHANA TAARIFA NCHINI TANZANIA

UHURU WA KUTOA MAONI, CHANGAMOTO MATUMIZI SAHIHI YA VYOMBO, MAJUKWAA YA KUPASHANA TAARIFA NCHINI TANZANIA

Dhana ya uhuru wa kutoa na kupata taarifa bado haijaeleweka miongoni mwa Watanzania walio wengi. Zipo nadharia mgongano juu ya maana halisi ya uhuru huo. Wapo wanaoamini uhuru wa kutoa na kupata taarifa una...

AJALI MOROGORO: INASEMEKANA GARI LILIBEBA MAITI FEKI, ABIRIA WALILAZIMISHWA KUOMBOLEZA KAMA WAFIWA

AJALI MOROGORO: INASEMEKANA GARI LILIBEBA MAITI FEKI, ABIRIA WALILAZIMISHWA KUOMBOLEZA KAMA WAFIWA

Basi aina ya Costa linadaiwa kusababisha ajali leo 22 June mkoani Morogoro lilibeba mashada ya maua, dereva aliposimamishwa kwa kosa la mwendo wa kasi alidai anawahisha mwili kwa ajili mazishi.Taarifa za kuaminika kutoka kwa...

JAMII YA WATU WANAOISHI NA SICKO CELL WAOMBA KUWEKEWA MPANGO KAZI WA UPIMAJI

JAMII YA WATU WANAOISHI NA SICKO CELL WAOMBA KUWEKEWA MPANGO KAZI WA UPIMAJI

Jamii ya watu wanaoishi na ugonjwa wa selimundu nchini, (Sicko cell), wameiomba wizara ya afya kuweka mpango kazi ambao utawezesha ugonjwa huo kuboresha upatikanaji wa upimaji wa ugonjwa huo ili kufanikisha kupunguza watoto wengi...

mapitio magazeti

MAPITIO: MAGAZETI YA NDANI NA NJE YA TANZANIA, LEO IJUMAA JUNI 18, 2021

Karibu pitia kurasa za mbele za magazeti ambayo yametufikia katika meza yetu ya magazeti leo hii Ijumaa Tarehe 18 Mwezi wa Sita, Mwaka 2021. Kila siku tunakuletea sura za mbele na nyuma za magazeti...

ALLY MAYAY, OSCAR NA JIMMY KINDOKI WAKATWA URAIS TFF, WAPINZANI WA KARIA WABAKI WAWILI

ALLY MAYAY, OSCAR NA JIMMY KINDOKI WAKATWA URAIS TFF, WAPINZANI WA KARIA WABAKI WAWILI

Kamati ya Uchaguzi ya TFF kupitia kwa Makamu Mwenyekiti wake, Benjamin Karume, leo Juni 16, 2021 imewatangaza waliokosa vigezo vya kuendelea na mchakato wa uchaguzi kwa nafasi ya Urais kuwa ni Oscar Oscar, Ally...